Huyu beki tatu sooooooo!
House girl mmoja kutoka nyanda za juu kusini ,alitoa kali ya mwaka alipohojiwa na bosi wake kwanini toothpick zinaisha haraka nae akajibu: Bee wanaofuja huto tuvijiti ni hawo wanao maana wakitumia mara moja tu wanatupa lakini mimi nikichokonoleaga meno bee narudishaga humohumo kwenye kachupa kake.
Aaaargh!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment